Afisa uhusiano wa mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) Gaudensia Simwanza akionyesha dawa feki ya kichina inayoongeza ukubwa wa makalio leo katika banda la TFDA kwenye maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma ya umoja wa mataifa ya Afrika yanayoendelea viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment